spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers
spacers home the model find a video Product spacer
spacer Help search Sitemap about
line

Kitovu cha mafunzo binafsi ya wanafunzi

 

    

Ufupisho

Hitimisho

Orodha ya tabia zinazoweza kuonekana

Mfano

Orodha ya Tabia Zinazoweza Kuonekana

1. Asili ya mfumo wa kujifunza: Mfumo huu ni hai, wa hiari, na unaanza ndani. Ni mfumo wa kugundua na kuunda maana ya habari na uzoefu uliochujwa kupitia hisia za binafsi za mwanafunzi, fikra, na kujisikia (McComb & Whisler, 1997).

__kujihusisha kwa uchangamfu
__Uzoefu wa moja kwa moja
__Kumudu kujifunza
__MAzingira ya kujifunza
__Mtindo wa kujifunza
__Mbinu za kujifunza
__Vitivo vya kujifunza

2. Malengo ya mfumo wa kujifunza “Mwanafunza hujitahidi kuunda uwasilishaji wa elimu wa maana na sahihi licha ya kiasi na aina ya data iliopo” (McComb & Whisler, 1997, p. 5).

___Kuunda maana
___Kuelewa
___Kujifunza na kuendelea
___Uwazi, kwa undani, kwa maana, na shughuli ya 
       kadri.

3. Kuunda ujuzi: “Kanuni hii ya kujifunza inahusika na jinsi mtu anavyojenga vipengele mbalimbali vya uelewa na muhemuko” (Phillips, 1997, p. 8)

__Kutafsiri
__Kutafiti
__Tafiti
__Tathmini
__Milingano na miungano

4. Mafikitio ya hali ya juu: Hii ina maana ya kutafuta milingano kwa kulinganisha, kutofautisha, kuchanganua, na kujumuisha habari. Lengo ni kuweza kuunda hitimisho la tukio (Eggen, 1996)

___Kutoa uwezeshaji
___Kugawana madaraka
___Kutoa maamuzi
___Kufikiri kwa makini
___Kufikiri kwa pamoja

5. Motisha inashawishi kujifunza: Hii inaonyesha umuhimu wa imani, uthamani, upendeleo, malengo, matarajio ya kufaulu ya mwanafunzi katika kujifunza, na muhemuko wa kifikra katika kuleta aidha motisha hasi au chanya ((McComb & Whisler, 1997, p. 75).

__Usharifu wa binafsi
__Muhemuko
__Utoshelevu
__Kujiamini
__Matarajio chanya
__Kujipongeza

6. Motisha ya ndani ya kujifunza: “Hii ni hali halisi ya kutafuta na kuyateka matatizo kadri tunavyotafuta mambo tunayoyapenda na kufanya mazoezi ya uwezo wetu” Deci & Ryan, as cited in Woolfolk, 2001, p. 368)

__Udadisi
__Kushiriki kwa undani
__Kufurahia kujifunza
__Mazingira ya kufurahisha

7. Tabia ya mitisha-kusaidia kurahisisha shughuli za kujifunza: Hii ni pamoja na udadisi, ubunifu, na kufikiri kwa hali ya juu, ambavyo hushawishiwa na shughuli za kujifunza za maana na kamili ambazo zinawafaa na kuwapendeza kila mwanafunzi (Schurr, 1994, p. 64).

__Shughuli zinazochangamsha udadisi wa wanafunzi
__Mbinu na shughuli zinazoendeleza na kuwataka 
    wanfunzi wawe wabunifu

8. Nafasi na lazimiko la kuendeleza: 

___Maendeleo ya kimwili
___Maendeleo ya kiakili
___Maendeleo ya kimuhemuko
___Maendeleo ya kijamii
___Tabia za wanafunzi

9. Tabaka za kijamii na kimila: Kujifunza kunarahisishwa na miingiliano na mawasiliano ya kijamii na wengine kwa hali ya ulaini na kitabaka (umri, mila, historia ya familia, nk.) na kuiga mazingira ya kujifunza (McComb & Whisler, 1997).

__Kujihusisha kiuraia na wengine
__Mawasiliano
__Uvumilivu
__Kazi za pamoja

10.Kukubalika kijamii, kujiamini, na kujifunza: Kujifunza na kujiamini ni vitu vinavyoinua sana wakati watu wanakuwa katika uhusiano unaoheshimu na kutunza wengine ambao wanaona uwezo, na kukubali talanta zao kipekee, na kukubalika kama watu ( MCCombs & Wisler, 1997)

___Kuingiliana katika kufundishwa
___Kujifunza kwa kushirikiana
___Akili za binafsi

11. Tofati kati ya watu katika kujifunza: Wanafunzi wanuwezo tofauti katika kujifunza., na wana modeli na mbinu wanzopendelea.

__Mazingira yao ya karibu
__ Mihemuko yao wenyewe
__Mapendeleo ya kijamii
__Tabia za kisaikolojia
__Mifumo yao ya kujifunza
__Akili za uwezo wa kunena/kilugha
__Akili za uwezo wa kufikiri na kihesabu
__Akili za uwezo wa kuona na za kinafasi
__Akili za uwezo wa kimwili na kimatendo
__Akili za uwezo wa kushirikiana
__Akili za uwezo wa kushirikiana na wengine
__Akili za kiasili

12. Mchujo wa kiakili: Hizi zinakuwa na imani na binafsi, mawazo, na uelewa unaotokana na majifunzo awali na matafakari na kuwa na uwezo binafsi wa kuunda ukweli na kutafsiri uzoefu wa maisha (McCombs & Whisler, 1997).

__Imani ya binafsi
__Mafirio
__Kuelewa

13. Kufundisha katika kitovu cha wanafunzi: Mitaala ilioko katika kitovu cha wanafunzi inafundisha kila mwanafunzi kuchagua na kupanga shughuli zake mwenyewe na vifaa vyake binafsi (Ubinafsishaji) ; kuwapangia wanafunzi kufundishana (miingilinano) na kuunganisha ishara zote na kutoa ishara ya somo ili mwanafunzi aweze kuunganisha muundo wa elimu kwa ufasaha katika fikra zake (Kuunganisha)” (Moffett & Wagner, 1992, p. 24).

__Ujuzi wa somo kwa undani
__Menejimenti ya darasa
__Mbinu za ufundishaji

References

      Eggen, P. D., &  Donald,  P.  (1996).  Strategies for teachers: Teaching content and thinking skills.  Needham Heights, MA: Allyn & Bacon.

      McCombs, B. L., & Whisler, J. S.  (1997).  The learner-centered classroom and school. San Francisco: Jossey- Bass.

      Moffett, J.,  &  Wagner, B. J.  (1992).  Student-centered language arts, K-12.  Portsmouth, NH: Boynton/Cook Publishers Heinemann.  

      National Center for Research on Teacher Learning.  (1999).  Learner-centered classrooms, problem based learning and the construction of understanding and meaning [On-line].  Available:  http://www.ncrel.org/sdrs/areas/issues/content/cntareas/science/sc3learn.htm 

      Phillips,  D.  (1997).  How, why, what, when, and where: Perspectives on constructivism and education.  Issues in Education: Contributions from Educational Psychology, 3, 151-194.

      Schurr, S.L. (1994) Dynamite in the classroom: A how-to handbook for teachers. Columbus, OH: NMSA.

      Woolfolk,  A.  (2001).   Educational psychology (8th ed.).  Needham Heights, MA: Allyn & Bacon.