spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers
spacers home the model find a video Product spacer
spacer Help search Sitemap about
line

Kitovu cha mafunzo binafsi ya wanafunzi

 

    

Hitimisho

Tafsiri

Orodha ya tabia zinazoweza kuonekana

Mfano

Tafsiri    

Wanafunzi katika kitovu cha kujifunza, au wanafunzi katikati ya mafunzo, ni modeli ya kujifunza ambayo inawaweka wanafunzi katika kitovu cha mfumo wa kujifunza. Katika mfumo wa wanafunzi katika kitovu cha kujifunza, wanafunzi huwa ni wahudhuriaji waliochangamka katika kujifunza kwao; wanajifunza kwa hatua zao wenyewe na hutumia mbinu zao wenyewe; wankuwa wamejishawishi na kushawishiwa na kupata motisha toka katika mazingira waliomo; majifunzo hayo ni ya ubinafsi nay a kiwango cha juu. Wanfunzi katika kitovu cha kujifunza huendeleza mbinu za jinzi ya kujifunza kama vile kutatua matatizo, kufikiri kwa hali ya juu, na kutafakari kwa makini. Wanafunzi katika kitovu cha kujifunza hujali na huiga mitindo mbalimbali ya kujifunza ya wanafunzi wengine (National Center for Research on Teacher Learning, 1999)

Wanafunzi katika kitivo cha kujifunza kwao ina tofautishwa na waalimu katika kitovu cha kufundisha, ambayo ina tabia ya kurithisha au kupitisha habari kutoka mtaalamu (Mwalimu) au mlaji. Kutokana na McCombs na Whisler (1997), wanafunzi katika kitovu chao cha kujifunza ni:

Ni fikra ambazo humlenga mwanafunzi binafsi (urithi wao, mazoea, fikra, historia yao, talanta, mapendeleo, uwezo, na mahitaji) pamoja na kulenga katika kujifunza (ni njia pekee ambapo ujuzi uliopo kuhusu kujifunza na jinsi unavyotokea na kuhusu mazoezi ya waalimu (ambayo ni muhimu katika kuleta hatua ya motisha ya hali ya juu sana, kujifunza na kufaulu kwa wanafunzi wote) (uk. 9)