spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers
spacers home the model find a video Product spacer
spacer Help search Sitemap about
line

Kiwango cha Fahisiri

 

     Ufupisho

 

Fahisiri ya elimu, kama inavyoeleweka kwa wengi, ni muhimu sana kwa jamii yetu ya baadaye.  Kwa bahati nzuri, miaka michache iliyopita, kiwango cha fahisiri kimekuwa kikitathiminiwa na kuendelezwa katika masomo yote, ama na timu ambao ni mabingwa wa masomo yenyewe, au na wakala kutoka mikoa mbalimbali.  Hivi viwango vya fahisiri vinatumika kama kipimo cha tatu katika modeli (Switzer, Calahan, & Quinn, 1999).

 

Kiwango cha fahisiri katika elimu ni tamko ambalo linaweza kutumiwa kukisia ubora wa fahirisi katika taaluma au kama sehemu ya mbinu za kutathmini. Viwango vya chekechea hadi kidato cha nne kinaeleza kwa ufasaha zaidi fahisiri maalumu ambayo ingefundishwa au kujifunzwa wakati wa miaka ya chekechea hadi kidato cha nne kufuatilia darasa hadi darasa au kidato hadi kidato. Kiwango cha fahisiri kinaelezea kiini muhimu cha ujuzi na  ustadi ambao wanafunzi wanatakiwa kuelewa kwa uhodari.  Viwango vina fafanua kuwa ni wanafunzi gani wanatarajiwa kujua na kuweza kufanya vizuri katika hatua mbalimbali katika maisha yao ya taaluma kuanzia chekechea hadi kidato cha nne.  Mikoa yote (kasoro Iowa) imetekeleza viwango vya fahisiri za masomo mbalimbali.  Kukubalika kwa viwango katika ngazi za chini katika mikoa na utekelezaji wa viwango hivyo, mikoa inahakikisha kuwa elimu amabayo wanafunzi wanapokea wakati wote katika mikoa yote  na kuhitimu kidato juu kina maana moja katika mikoa yote (Kendal & Marzamo, 1997).

 

           Viwango vinawaelekeza walimu katika ku onyesha na kulenga
           mafundisho katika ujuzi maalum au ustadi ambao wanafunzi
           wanatakiwa kujifunza katika kila ngazi ya darasa.
                                                          (San Jose Unified School District, 1999)

 

Wazo ni kwamba, mwalimu mmoja anawajibishwa kufundisha kiwango kimoja, kupima ustadi wa wanafunzi, na kuchukuwa hatua za kurekebesha wakati ambapo ustadi haujafaulu.  Katika mfumo wa viwango, somo ndilo linalolengwa.  Mfundisho yana akisi tunachokijua zaidi kuhusu kujifunza.  Wanafunzi wanaelewa kuhusu kazi zao za darasa na wana wanashawishika kujifunza wanapoona mahusiano ya wanayojifuna na masomo mengine na hata katika maisha.  Waalimu wameongeza bahati za kujihusisha katika mazungumzo ya mara kwa mara kuhusu kuhusu kujifunza kwa wanafunzi (San Jose Unified School District, 1999).

 

Hatua ya kwanza kwa mkazo wa sasa wa viwango vya elimu ni report ya “National at Risk” (“Taifa katika hatari”) (National commission on Excellence in Education, 1983).  Dukuduku kuhusu uwezekanifu wa mfumo wetu wa elimu kulipelekea kuwepo kwa mkutano wa Septemba, 1989, wakati ambapo Rais Bush na magavana wa taifa walikubaliana katika malengo makubwa sita chini ya kichwa habari Ripoti ya Malengo ya Elimu ya Taifa: Kuwajenga Wanafunzi wa Taifa (The National Education Goal Report:  Building a National Learners) (Marzano & Kendall, 1998).  Ujumbe wa matamshi ya malengo haya ulikuwa ni kuwa lazimisha waelimishaji wa marekani kuonyesha viwango vikali vinavyohusu ni nini wanafunzi wanahitaji kujua na kuweza kufanya katika sehemu zote za taaluma.” (Marzano & Kendal, 1998).  Kilichofuata, vyama vya masomo kadha wa kadha vilianzisha viwango vya fahisiri katika sehemu wanazohusika (MArzano & Kandal).

 

Viwango vya fahisiri inaelezea kiini cha mada tu katika elimu ambacho kinge tumika kwa wanafunzi wote bila kujali kazi zao maalumu na mipango yao ya kitaaluma.   Kila mwanafunzi anapashwa kufaulu katika malengo kwa upana kuliko yale yaliyoonyeshwa katika viwango.  Hata hivyo, katika kidato cha juu, wanafunzi wanaoendelea na elimu ya juu au mahali pa kazi watahitaji uzoefu nje ya elimu kiini ya darasani katika sehemu ya fahisiri inayoonyeshwa katika viwango.  Kwa hiyo, wakati wa miaka ya vidato vya juu, mkazo unatoka kati kiwango kiini (amabacho kipo kinaendelea katika mfumo wa elimu) kuelekea kwenye mabadiliko ya wanafunzi baada ya secondary, au matokeo ya viwango vya fahisiri (kinachotokana na mfumo wa elimu).

 

Viwango vya fahisiri vinaweza vikafanikisha malengo ya mwanzo matatu:

 

  • Kuwapa wanafunzi na waalimu tango wazi na pinzani

  • Kusaidia kulenga nguvu na mali kwa chanzo muhimu: mafanikio ya wanafunzi.

  • Kutupa sote vifaa vya kuamulia ni jinzi gain wanafunzi wanajifunza na jinsi gain shule zetu zinafanya katika masomo.

 

Viwango vimeelezewa nakwa kutathmini utendaji wa wanafunzi na programu za taalum, ikitilia mkazo ukusanyaji wa habari amabazo waalimu wataweza kutumia kwa ufundishaji unaofuata. Viwango pia vinatambua udhamani wa ukusanyaji wa habari kuhusu kukua kwa wanafunzi na maendeleo ya uchunguzi na madhumuni ya kiutawala.

 

Viwango fahisiri vilivyoonyeshwa hapa chini na vilivyoonyeshwa katika video vya mpngo wa INTIME (Integrating Technology into the Methods of Education- Uunganishaji wa Technolojia na Njia za Ufundishaji) vimekubalika kutoka viwango vya fahisiri vya kitaifa katika vyama vya masomo vya kitaifa.

Mrejeo:

 

Kendall, J. S., & Marzano, R. J. (1997).  Content Knowledge: Acompendium of standards and benchmarks for K-12 education [On-line]. Available:

http://www.mcrel.org/products/standards/awash.asp[2000,May 22]

 

Kendall, J.  S., & Marzano, R.  J.  (1997).  Content knowledge: A compendium of standards and benchmarks for K-12 education  [On-line]. Available: http://www.mcrel.org/standards-benchmarks/  [2000, April 2]

                   

Marzano, R. J.,  & Kendall, J.  S.  (1998).  Awash in a sea of standards  [On-line]. Available: http://www.mcrel.org/products/standards/awash.asp [2000, May 23]

 

San Jose Unified School District.  (1999).  All students can learn—All students can succeed [On-line]. Available: http://es.sjusd.k12.ca.us/Standards/Standards.html [2000, May 22]

 

Switzer, T. J., Callahan, W. P., & Quinn, L. (1999, March).  Technology as facilitator of quality education: An unfinished model.  Paper presented at the Society for Information Technology and Teacher Education, San Antonio.

 

Sources Consulted

 

Alliance for Curriculum Reform [Homepage] (2000). Available: http://www.acr.uc.edu/ [2000, April 8]

 

Hill, C. (2000). Developing educational standards [On-line].

Available: http://putnamvalleyschools.org/Standards.html [2000, March 16] 

 

US Department of Education.  (1996, Spring).  Improving America's school: A newsletter on issues in school reform  [On-line].

Available: http://www.ed.gov/pubs/IASA/newsletters/standards/pt1.html

[2000, May 22]