|
|
 |
|
Maana
-
Umakinifu ni fikra yakinifu ambayo huendeleza
utafakari wa matukio na kufikia tamati kwa umakini kwa kuhusika
maadili yote na kutumia njia halisi (Carter, 1973).
Kufanya maamuzi katika demokrasia ni njia ya kufikia makubaliano katika mazingira ya vikundi kupitia kujadiliana, kutoa hoja, na kuchanganua. Ufanyaji maamuzi ni zaidi ya kutoa hoja tu. Mawazo yanatakiwa yakabiliwe katika kundi hadharani, na washiriki wote katka mjadala huu wanatakiwa kusikiliza kwa uhakika hoja za wenzao. Kufanya maamuzi makini ya kidemokrasia, vikundi vyote vihusishwe (Lipset, 1995).
-
- Mbinu za Utafakari zinazotumika katika Mafkirio Makinifu
-
- Kuangalia ni kuona na kujua kama mtu/kitu; kuangalia mtu/kitu kwa uangalifu ili kujua kitu Fulani
- Kueleza ni kusema ni namna gani mtu/kitu kina au an onekana
- Kulinganisha ni kuchunguza watu au vitu kuona kuwa vina fananaje au
vinatofautianaje, kujaji kitu kimoja na kupima kingine
- Kutambua ni kuonyesha au kuhakikisha nani au kitu/mtu gani
kinaonekanaje, kutambua mtu/kitu kuwa ni kitu Fulani au mtu.
- Kuhusianisha ni kuambatanisha kitu au vitu pamoja katika akili; kuambatanisha watu au vitu kwa sababu vinatokea
pamoja, au kwa sababu vinazalishana.
- Hitimisha ni kufikia maamuzi kutokana kuwepo kwa habari au ushahidi; kufikia
tamati; au kutoa hoja kuwa kitu Fulani ni kweli.
- Kutabiri ni kusema kabla kitu hakijatokea, kuona mbali.
- Kutumia ni kufanya maombi rasmi, kufanya sheria na kadhalika, kufanya au, kuwa makini katika hali Fulani
(kutumia kitu Fulani) kutumia kitu
- Fulani kama cha maana au cha kufaa; kutumia kitu Fulani kimatendo
Kagua Orodha ya Tabia zinazoonekana.
Watu hufanya nini?
____1. Elezea hali hiyo kwa wengine
____2. Hakikisha kuona kuwa wana habazi za
kweli na kila zina upendeleo wowote katika
fikra zao
____3. Linganisha hali hili na imani zao wenyewe
____4. Tumia muhemuko tu kuonyesha umuhimu
na sio kutokana na tabia
____5. Kujiuliza wenyewe kuhusu matokeo yake
ya baadaye
____6. Kufikiria jinsi ya kuelea na ni katika hali
gani na kuwa watakumbana ana vipingamizi gani
____7. Fikiria kwa pamoja njia zote za kuendelea toka mahali walipo
____8 Fikiria ni njia zipi nzuri na kitu gani kifanyike
Marejeo
Carter, C. V. (1973). Dictionary of education. New York:
McGraw Hill.
Lipset, S. M. (Ed.). (1995). The encyclopedia of democracy.
Washington DC: Congressional Quarterly.
Oxford-advanced learner’s dictionary of current English.
(1996). Oxford: Oxford University Press.
|