|
|
 |
|
-
Maana
- Ugawanaji wa madaraka ina maana ya kugawana mazoezi na kuanzisha sheria amabazo hupelekea katika nyanja nyingi za kujitawala au kuongoza. Katika uwanja wa elimu, tunaongelea kuhusu kugawana madaraka wakati ambapo wanafunzi wanashiriki katika shughuli amabzo mwalimu anawawezesha kugawana madaraka na nyajibu na gugawana kwa mambo ya kufanya kwa ajili ya uwajibikaji katika shunguli
zao.
-
- Kwa ujumla, kugawana madaraka in maana ya kutoa uwezo, kuruhusu, au kuwezesha. Katika uwanja wa elimu, ni kuwezesha na kuimarisha ujiamini wa binafsi katka mambo yatokanayo na historia ya mmoja wao, lugha, na mila. Ni kuwezesha wale ambao wamedidimizwa kiuchumi na kimila kudai, katka hali zote mbili nafasi ya kuwa mshiriki katika jamii. Kutoa madaraka "ni bahati na ni in maana ya ya kushiriki kwa uhakika na kwa mamlaka yote" (Bastian, Fruchter, Gittell, greer, na Haskins, kama inavyonukuriwa katika Simon, 1987, p. 382)
-
-
-
Kaguo Orodha ya Tabia zinazoonekana
- __1. Kuwasiliana: kwa uchangamfu, kubadilishana mawazo kwa uwazi,
kuomba ushuhuda wa mambo hayo.
__2. Uelevu: Mazungumzo mantiki; kuelewa mahitaji ya kila mmoja
__3. Upatikanaji: Kuonyesha uwezo; kupeleka ujumbe
unayoeleweka,na rahisi na kuonyesha ni kwa namna gani nia yako
in faida.
__4. Kuwa kirazini: Kuweka uzani katika kutetea mawazo na
kuyapinga mawazo; kwa kuwa radhi kuitikia ili kusaidia kukagua
imani.
__5. kuwa mtu asiye thibiti: Kuwa radhi kufikiria njia za kubadilisha jinsi ya kufikiria; kushawishi kutokana na nadharia na sheria zilizopo.
__6. Kukubali; kuonyesha kuheshimu kwa pamoja na utayari wa kujifunza kutoka kwa wenzao, kusikilizana na kushiriki katika maongezi ya wazi na yenye uzani sawa kuhusiana na imazi
zilizopo.
Marejeo
-
Simon, R.J. (1987). Empowerment as a pedagogy of possibility. Language
Arts, 64(4), 370-382.
Sisk, T.D. (1996). Power sharing and international
mediation in ethnic conflicts. Washington, D.C. : Carnegie Commission on Preventing Deadly
Conflict, Carnegie Corporation of New York : U.S. Institute of Peace.
|