|
|
 |
|
- Maana
-
- Uwajibikaji wa binafsi na ushiriki wa kiraia ni na wengine ni njia za kukua na kuwa na nafasi ya kugawana shunguli za pamoja za kiraia kwa mipango na mapelekezo ya kikundi na kwa uhuru wa binafsi.
-
-
Kagua Orodha ya Tabia zinazoonekana
-
- __1. Kuonyesha uwepo, imani, kujitawala
__2. Kuonyesha utahadhari wa mahitaji ya kikundi na matatizo yao.
__3. Kuendeleza matakwa ya juu ya wana kikundi (Uwajibikaji)
__4. Kuheshimu kwakujua kabisa na kwa kujitolea katika njia zote
zilizowekwa na kikundi.
__5. Kuonyesha utayari wa kushiriki
__6. Kuonyesha uvumilivu
__7. Kuonyesha ushirikiano katika mbinu za kujifunza
__7. Kuonyesha tabia inayofaa katika mazingira maalum
__8. Kuonyesha hali ya ujamii darasani au shuleni, au kuendeleza muungano thabiti kati ya wananfunzi na jamii inje ya shule.
-
Marejeo
-
Good,
C. V. (1973). Dictionary of education. New York: McGraw Hill.
|