spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers
spacers home the model find a video Product spacer
spacer Help search Sitemap about
line

Kufikiri Pamoja na Kutengeneza Maana

 

    

Maana

Kufikiria pamoja ni kuunda fikra za pamoja katika matukio yale yanayotufanya tupate yale tunayoyataka na wakati yale tunayoyataka ni mazuri kweli. Mazungumza yana nafasi nzuri sana katika kuleta maana na kufikir pamoja. Lengo la mazungumzo ni ni kuleta uelewa wa pamoja" Mazungumzo ya pamoja pia ina maana ya kuanzisha ujifunzi wa kwenye timu, ili mwanachama wa timu aweze kusimamisha madhanio na kuingia katika mafikirio ya hakika" (Ynamkelovich, 1999, p. 14) 
 
Kaguo Orodha ya tabia zinazoonekana
 
___1. Mazungumzo
___2. Maulizo
___3. Uwakili
___4. Simamisha maamuzi
___5. Tafuta uthamini kwa wanachama wote
___6. Saidia mwanachama anayehitaji msaada
___7. Kuwashawishi wanatimu wengine kwa nia nzuri
Marejeo
 

Senge, P. (1990). The fifth discipline – The art & practice of the learning organization. New York : Currency Doubleday.

Yankelovich, D. (1999). The magic of dialogue: Transforming conflict into cooperation. New York: Simon & Schuster.