|
|
 |
|
Maana
- Uvumilivu ni uwezo wa, au ni mazoezi ya, kutambua na kuheshimu imani au matendo ya wengine
Orodha ya tabia zinazoweza kuonekana
-
Tabia zinazoonekana:
- ___
1. Kusikiliza
- ___
2.
Kuangaliana usoni
- ___
3.
Moa hoja hata kama hukubaliani, kuonyesha kiasi cha
uelew, na kutumia sauti isiyofungamana na upande wowote ili kumpa moyo msemaji na aweze kuendelea.
-
Wanafanya nini?:
- ___
1.
Tafakari
- ___
2.
Kutengeneza hoja tofauti
- ___
3.
Kukasirika
- ___
4.
Kuvunja maongezi
- ___
5.
Hawatazamani
-
-
-
-
Marejeo
-
The American heritage dictionary (2nd College ed.).(1988). New York: Houghton, Mifflin.
|