logo 1 logo 2    Click For
spacer spacer
 border spacer
Link to InTime Home spacer
 border spacer
logo 3 logo 4
logo 5 logo 6
INTIME Matarajio

Matarajio ya INTIME ni kuwasaidia wanataaluma kuendeleza wanafunzi kujifunza katika ngazi zote kuanzia darasa la kwanza hadi kumi na mbili na Chuo kikuu, Tunafundisha darasa la kwanza hadi kumi na mbili na waalimu wa chuo kikuu ili kukamilisha madhumuni haya. Kunatumia technolojia za kisasa, modeli za juu kabisa, na video na picha katika mitandao, majifunzo, na kuuliza maswali ili kuwasaidia wana taaluma kujifunza mbinu maalumu za kuwasaidia wanafunzi kujifunza. Modeli zetu zinazingatia utafiti na kutumia viwango vya kuendeleza elimu na mbinu za kisasa kabisa tulizonazo pamoja na saikolojia ya kiakili na tafiti za kujifunza. Modeli zinatumiwa na wana taaluma kuwasaidia wanafunzi, pamoja na kutumia demokrasia darasani, kujifunza kwa undani na hasa tabia za waalimu. Madhumuni yetu sio kugawana kazi za wana taaluma katika vipengele vidogo vidogo, bali ni kuangania mfumo mzima ambao unaendeleza elimu ya kiwango cha juu.

  • Tekinolojia Kama Nyenzo za Elimu Bora (graphical)

  • Tekinolojia Kama Nyenzo za Elimu Bora (text)

  • Videos

  • Overview: Marilynn Western

    1st & 2nd grade, Kinney Elementary

    Mt. Pleasant, Michigan

     

    Mahojiano: Lisa Carlon

    6th grade, Cedar Ridge Elementary

    Branson, Missouri

     

    Kanuni za Kujifunza: Chris Gleason

    7th grade, Greenhills School

    Ann Arbor, Michigan

     

    Uchekataji wa Taarifa: Cathy Howland

    4th-6th grade ESL, Orchard Hill School

    Cedar Falls, Iowa

     

    Kiwango cha Fasiri: Lyn Countryman

    7th grade, Malcolm Price Laboratory School

    Cedar Falls, Iowa

     

    Demokrasia: Kim Reed

    5th grade, Madison Elementary

    Cedar Rapids, Iowa

     

    Tekinolojia: Kim Miller & Craig Saddler

    4th grade, Malcolm Price Laboratory School

    Cedar Falls, Iowa

     

    Tabia wa Mwalimu: Pam Maclin

    9th grade, Bernie High school

    Bernie, Missouri

     

    Ujuzi wa Mwalimu: Vicki Oleson

    6th grade, Malcolm Price Laboratory School

    Cedar Falls, Iowa

      Sign our guest book

     

     

    Sponsored by:

    PT3 website

    Renaissance Group website

    UNI website

    Preparing Tomorrow's Teachers 
    to Use Technology 
    U.S. Department of Education

    Renaissance Group

    College of Education 
    ITS-Educational Technology