|
|
 |
|
Maana
-
Utafiti una maana ya muhimu na mara nyingi husahaulika wakati miradi ya tafiti ili kutafuta habari zinazohitajika. Tafiti awali zinamsaidia mtafiti kuunganisha habari kati ya kichwa cha habari kimoja na kingine, maswali, na habari zinazohitajika kabla ya ujuzi uliopo. Utafiti unaweza ukaanza na kutafuta kwenye mitandao au maswali ambayo yanalenga wanayoyajua kuhusu kichwa cha habari Fulani na nini wanachotaka kujua. Hii inahitaji mtafiti kuingilia katika utafiti wa kiupelelezi kupitia habarikamili kamili na kuendelea katika mtazamo kwa upana katika habari hiyo kwa kuangalia mahusiano yaliopo. Utafiti huleta mbinu za kuweza kuangalia kwa undani zaidi na kuuliza maswali malengwa na kufafanua habari zinazohitajika." (Papas & Tepe, 1997).
Kwa
mfumo wa muhtasari wa habari, Angalia Modeli ya
Daraja la Kuelekea kwenye Ujuzi (www.pathwaymodel.com),
iliyoandaliwa na M. L. Papas ma A. E. Tepe,
1997, inatumika kwa ruhusa toka Follet Software
Company, 1391 Corporate, Drive, McHenry, Illinois
60050.
-
Kaguo Orodha ya Tabia Zinazoonekana
Kuanziha lengo langu
A. Kuanzisha Mtazamo
__1. Kupata mianzo ya habari
__2. Kutafuta habari za awali
__3. Kuhusisha alama kutoakana na habari awali
__4. Kutunga maswali ya awali
__5. Kuonyesha maneno muhimu
__6. Kutafuta mawazo na habari kwa kila kichwa
cha habari
B. Kutafuta Mahusiano
__1. Kuhusianisha vichwa vya habari kupitia mitandao, mihtasari, na kadhalika
__2. kuchuja na kufafanua vichwa vya habari
__3. Kuanzisha maswali ya utafiti
__4. Kufafanua habari zinazohitajika
__5. kufuata njia za kutumia habari na tekinolojia na vyombo vingine
__6. Kutafuta misaada kutoka sehemu maalumu
__7. Kuangalia kwa undani matokeo ya utafiti.
-
Marejeo
-
Pappas,
M.L., & Tepe, A.E. (1997).
Pathways to knowledge :
Follett's Information Skills Model
(3rd ed.).
McHenry, IL: Follett Software. Available:
http://www.pathwaysmodel.com/the-model/text/presearch.cfm
-
- Mfano
-
- Wanafunzi wa shule za sekondari wamekuwa wakijadili mielekeo ya fasihi za marekani. Kila mwanafunzi anachagua muelekeo mmja. Wanaitambua kama kichwa cha habari cha ripoti ya utafiti. Wankusanya habari kuhusu mielekeo hiyo kutoka maandishi; hata hivyo, wanahitajika kutafuta mifano katika aina za fasihi. Muhusika maalumu wa shule za maktaba huwapa wanafunzi sehemu nyingi za kufanyaia utafiti (kwa maandishi na electronic) kuwasaidia kujua idadi ya fasihi za kimarekani katika kipindi Fulani. Wanafunzi wanajifunza jinzi yak u noa au kupanua utafiti wao katka CD_RM na kujadili maneno muhimu kuangalia wakati wanapofanya utafiti kwa njia ya electronic. Mwisho wa darasa, mwalimu na mtu maalumu wa maktaba awasaidia wanafunzi kupata habari muhimu zinazotumika kama chanzo katika kutoa maana kwa mambo wanayoyahitaji kwa kutumia mifano zaidi ili kuonyesha zaidi fasihi walizozichagua.
|