spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers
spacers home the model find a video Product spacer
spacer Help search Sitemap about
line

Utafutaji

 

     Maana

Wakati wa hatua ya kutafuta, watafiti hutambua watu watoao habari maalum, mianzo na vifaa, halafu kutafuta njia za kutkeleza mbinu za utafiti kutafuta habari maalum kutokana na maswali ya utafiti yaliyoandaliwa. Wanafiti wako tayari kutumia elektroniki na kufanya tafiti katika vikundi vya wajuzi.

Kwa mfumo wa muhtasari wa habari, Angalia Modeli ya Daraja la Kuelekea kwenye Ujuzi (www.pathwaymodel.com), iliyoandaliwa na M. L. Papas ma A. E. Tepe, 1997, inatumika kwa ruhusa toka Follet Software Company, 1391 Corporate, Drive, McHenry, Illinois 60050.
 

Kaguo Orodha ya Tabia zinazoonekana

Ku panga na kutekeleza utafiti wangu

A. Tambua watoaji habari

___1. Tambua chanzo na vifaa vinavyohitajika 
          kujibu maswali uliyonayo (kama vile, shule, 
          maktaba, makumbusho, nyumbani, mahali pa 
          biashara, n.k.)
___2. Kufanya utafiti pamoja
___3. Kushirikiana na wataalam
___4. Kutumia mbinu za vyanzo

B. Chagua habari za vyanzo na vyombo 

___1. Andaa mbinu za utafiti
___2. Tofautisha mianzo ya habari
___3. Tumia mianzi hiyo kwa makini
___4. Kusanya habari kutoka watu wa uhakika
___5. Anzisha mbinu za utafiti ya maandishi na
          mianzo ya elektronik
___6. Chagua na kutumia vyombo vya utafiti (kwa
          mfano, faharasa, catalogi, bibiliografia,
          kamusi, injini za utafiti)
___7. Kuelewa wazo la mifanano (maandishi) na
          isiofanana (electronic) katika mipanglio ya
          habari
___8. kutathmini miafaka ya mtoa habari, vyombo,
          na vyanzo vyake.

C. Angalia Habari Maalumu

___1. Kutafuta habari maalum
___2. Kusoma haraka kwa kutumia mbino za
          kutafuta habari
___3. Kunukuu habari kwa kutumia mbinu za
          kutoa mihtasari, nukuu, na kuorodhesha 
          habari muhimu (iliyoandikwa kwa mkono na 
          kwa elektronik)
___4. Nukuu habari za bibiliografia
___5. Uliza maswali kwa kuleta maana zaidi
___6. Kuhoji 
___7. Tabua nadharia Fulani Fulani
___8. Kuchunguza habari tena na tena
___9. Kujua habari muhimu (hakika, za kubuniwa,
          na za sasa, za primary au sekondari, na
          muhimu) 
__10. Kutuma sehemu habari zinapopatikana
__11. Andaa mbinu za kuchunguza za maandishi, na
          electronic, pamoja na kutafuta, angalia,
          milingano, na kuchanganua utafiti
__12. Kujua ni lini unataka msaada.
__13. Kutadhmini mbinu matokeo ya mbinu za 
          utafiti.

Marejeo

         Pappas, M.L., & Tepe, A.E. (1997).  Pathways to knowledgesear: Follett's Information Skills Model (3rd ed.).  McHenry, IL:  Follett Software.  Available: http://www.pathwaysmodel.com/the-model/text/search.cfm

 
Mfano
 
Mtoto wa darasa la kwanza amekuwa akisoma na kusikiliza jinsi Chui alivyopata Madoa. Watoto watatengeneza kibao cha kuonyesha wanyama katika sehemu mbalimbali wanazoishi. Mara wanafunzi watakapokuwa wameunda maonyesho hayo katika akili zao jinsi wanavyojua kuhusu wanyama hao wanavyonekana, wapo tayari kutafuta habari zaidi. Mwalimu na mtaalam wa maktaba watawasaidia wanafunzi kupata vitabu, video, na electronic, na rangi za sehemu ambazo wanyama hao wanaishi. Darasa watatembelea hifadhi na wanafunzi watanukuu habari kuhusu rangi za wamyama katika sehemu za makazi yao. Pia watachukua picha za wanyama wakiwa katika hifadhi zao kwa kutumia kamera zao, ambazo zitawasaidia wanafunzi kuchra na kuunda picha ambazo walikuwa tayari walishaweka katika akili zao.