|
|
 |
|
Tafsiri
-
“Mwanafunzi hakubali kuchukua elimu, bali hung=da elimu kwa uchangamfu na kwa njia ya kipekee” (Ewell, 1997a, p. 6). “Tabia hii ya kujifunza, kwa kweli, ni tofauti na mbinu zetu zilizotawala za kufundishia” (Ewell, 1997b, p. 4), kama vile mihadhara.
Orodha ya tabia zinazoweza kuonekana
-
___
1. Tabia za kushirikiana (Ewell, 1997a, p. 6): Mwanafunzi ni
mchangamfu na msikivu, na hujishughulisha na
shughuli.
___ 2. Ubunifu wa kufikiri (Ewell, 1997a, p. 6). Mwanafunzi
hujitokeza na majawabu yake mwenyewe na ushauri wake
mwenyewe, huleta mawazo mapya katika somo, huweza
kulinganisha yale aliyojifunza wakati uliopita na mazingira ya
wakati uliopo.
___ 3. Kujihusisha katika kujifunza (Ewell, 1997a, p. 6): Mwanafunzi
ana uwezo wa kutumia mambo aliyojifunza katika mazingira
fulani ya kujifunza.
___ 4. Uundaji wa ujuzi (Ewell, 1997a, p.6): badala ya
kupokea
habari kupitia mtu mwingine, mwanafunzi
anapewa
majukumu ya kumwongoza katika
ufahamu na kujifunza.
Marejeo
-
Ewell, P. T.
(1997a, December). Organizing for learning: A new imperative.
AAHE Bulletin, 3-6 [On-line].
Available:
http://www.aahe.org/members_only/bul-dec1.htm
[2000, May 17].
Ewell, P. T.
(1997b).
Organizing for learning: A point of entry. Draft prepared for discussion at the 1997
AAHE Summer Academy at Snowbird.
National Center for Higher Education
Management Systems (NCHEMS). Available: http://www.intime.uni.edu/model/learning/learn_summary.html
-
Mfano
Katika masomo ya wanafunzi wa darasa la 1-6 katika mchepuo wa sanaa, wanajihusisha kwa vitendo katika kujifunza kuhusu tamaduni na desturi nyingine. Kuwapatia wanafunzi nakala zenye mazoezi ni njia mojawapo nzuri ya kujifunza mambo mbalimbali katika nyanja Fulani kwenye utamaduni Fulani.
Kwa mfano, katika somo la kufinyanga sarcophagus ya udongo, kujifunza kunatokea wanafunzi wanpokusanya habari kuhusu Misri wanpotazama picha zinazoonesha taratibu za maisha ya Wamisri, Mapiramidi na madhumuni yake, na makaburi ya mawe (sarcophagus). Kujifunza pia kunatokea pale wanafunzi wanapotafuta nama ya kuunda makaburi ya mawe. Kwa kufanya hivyo wanajifunza maana ya hieroglyphics, mummification, na miungu wa Wamisri. Vile;evile wanajifunza kanuni za kuchoma vinyago waloundwa kwa udongo, kutia michoro, na kuchonga hieroglyphics.
Mifano mingine ya kujifunza kwa uyakinifu, inaweza kujumuishga shughuli kama, kufinyango picha ya muundo wa mfumo wa mlishano yaani (ecosystem) na kushiki katika
majadiliano.
Marejeo
Imechukuliwa toka:
-
Killam, L. H.
(1999).
Clay sarcophagus
[On-line]. Available: http://www.dhc.net/~artgeek/sarco.html
[2000, May 17].
|