|
|
 |
|
Tafsiri
-
Kipengele hiki cha kujifunza kutokana na uzoefu wa moja kwa moja na utayari wa kushawishika. Bali inaongezea mkunjo mpya katika kufahamika kwake kwamba kuna usawa maalumu ya nafasi katika mazingira yeyote ya kujifunza” (Ewell, 1997b, p. 9)
Majifunzo ya hali ya juu inaelekea kutokea wakati ambapo watu wanakabiliwa na matatiza maalumu , yanayofahamika ambayo yanawapa ushawishi wanafunzi na hutaka kuya tatua kwa kuwa yapo katika uwezo wao” Ewell, 1997a, p. 4). Ushawishi wa wanafunzi na majifunzo mara nyingi katika mazingira ya utatanishi na mchanganyiko a matatizo na yanawashawishi wanafunzi kwa kuwa majibu yake au utatuzi wake ni wa
uhalali.
Orodha ya tabia zinazoweza kuonekana
-
___
1. Matatizo tatanishi (Ewell, 1997b, p. 9): Mazingira ni ya
mchanganyiko na yanashawishi na zao lake ni la
tahamaki,
usikivu, na hamu ya kutafuta
majibu.
___ 2. Mazingira halisi (Ewell, 1997b, p. 9): Mazingira
yameunganishwa na dunia ya anje na hayashawishiki.
___ 3. Matokeo halisi (Ewell, 1997b, p. 9): Matokeo ya matatizo
halisi yana maana ya kima tendo katika maisha ya kila siku.
- Marejeo
-
Ewell, P. T.
(1997a, December). Organizing for learning: A new imperative.
AAHE Bulletin, 3-6
[On-line].
Available:
http://www.aahe.org/members_only/bul-dec1.htm [2000, May 17].
Ewell, P. T.
(1997b).
Organizing for learning: A point of
entry. Draft prepared for discussion at
the 1997 AAHE Summer Academy at Snowbird.
National Center for Higher Education
Management Systems (NCHEMS). Available: http://www.intime.uni.edu/model/learning/learn_summary.html
Mfano
-
Katika muundo kwa ajili ya darasa la sita, mazingira lazimika hutoka wakati wa kujifunza kuhusu bahari. Kwa kutumia mchezo wa maigizo, mwalimu huwaambia wanafunzi kuchanganua bahari kutokana na vipengele vine vifuatavyo; Mtaalamu wa miamba, mwanasayansi wa mambo ya bahari, mwanasayansi wa mazingira, na mtaalam wa uchoraji wa ramani za baharini. Kwa njia hii, mwanafunzi hupata uzoefu wa wanasayansi wote hawa kila mmoja wao. Mwalimu anajenga nafasi ya kujifunza kwa kupitia mchezo. The Great Ocean Rescue amabayo ni software ya kushawishi inayotoka kwa Tom Snyder Productions, Inc., mwalimu anaonyesha mazingira lazimiaka.
Video ni sehemu zinazoonyesha sehemu ya utafi ya bahari. Kutokana na hali ya hewa mbaya, stasheni ya habari imepoteza mawasiliano na viombo vya baharini. Waanafunzi wanamuigizia mtafiti katika kitua cha bahari. Katiaka mfululizo wa mazingira mengine ya masomo, mwanafunzi anatumia ishara kutoka video na ujuzi wao mpya wa bahari wakiwa wakifanya kazi katika vikundi kuweka mjadala kuhusu kuwa chombo cha baharini kimepotelea wapi na kinaweza kupatikana kutoka na jaribio lipi. Kwa hiyo darasa zima lina hitaji kufikia muafaka kuwa chombo hicho kipo wapi na jaribio lipi linaweza kufanywa ili kituo cha bahari kiweze kutuma waokoaji. Kwa njia hii, wanafunzi wanalazimishwa kutafsiri kazi yao katika maisha halisi. Sehemu nyingine inayofanya kuwa mazingira lazimika kwa wanafunzi ni pale wanapohitajika kutoa mahesabu ya gharama za kila jaribio kusaidia kujua sehemu amabapo chombo kilichopotea kilipo na kufikia mpango
unaoeleweka.
Rejeo
-
Oleson,
V. (2000).
Great ocean rescue lesson plan.
Cedar Falls, IA:
University of Northern Iowa.
|