|
|
 |
|
Tafsiri
-
Uzoefu wa moja kwa moja in maana ya kujenda nafasi ya kujihusisha kwa uhakika katika mazingira ya kujifunza ambayo, kwa uhakika huchonga kujifunza kwa mwanafunzi.” (Ewell, 1997, p. 7). Wakati ambapo wanafunzi wanakuwa wamejifunza kidogo au hawakuelewa kipengele fula cha mafunzo, uzoefu wa moja kwa moja unahitajika ili kuweza kuunda uelewa na kuleta mabadiliko, na kuburudisha modeli ya akili ili kuweza kuelewa vizuri. Maoni hasa mara nyingi sio sahihi, bali yanaweza yakanolewa n auzoefu wa zamani na yanaweza kuwa ni “magumu kuyavunya hata kama hayakuwa
sahihi”
Orodha Kagua ya Tabia Zinazoonekana
-
___
1. Kujifunza katika mazingira (Ewell, 1997, p. 8): Mwanafunzi
huwa na uzoefu wa mazingira ambayo yatampatia bahati ya
kupata elimu na mbinu kwa kuangalia moja kwa moja mambo
yanayostahili kujifunzwa.
___ 2. Kuunda modeli ya akili (Ewell, 1997, p. 8): Wanafunzi huwa
na uzoefu wa mazingira yaliyorudiwa na yanayofanana, hivyo
basi hupata mahusiano ya yanayosababisha na matokeo
yake,
ambapo binaadamu hufanya milinganisho na kuelewa katika
masingira mapya
___ 3.
Kubadilisha Modeli ya Akili ((Ewell, 1997, p. 8);
Mwanafunzi hutumia akili iliopo kuungalisha na kulinganisha
sababu na kuunda milinganisho mipya inayotokana na milingano
iliyopita pamoja na matarajio yake.
Marejeo
-
Ewell, P. T.
(1997).
Organizing for learning: A point of entry. Draft prepared for discussion at the 1997 AAHE Summer Academy
at Snowbird. National
Center for Higher Education Management Systems (NCHEMS).
Available: http://www.intime.uni.edu/model/learning/learn_summary.html
Halpern, D. F., &
Associates.
(1994).
Changing college classrooms: New teaching
and learning strategies for an increasingly complex
world. San
Francisco: Jossey- Bass.
Mfano
-
Katika somo lenye kichwa cha habari “Popcorn Peotry,” wanafunzi wanahitajiwa kubuni kutumia uzoefu wa hisia kujifunza mawazo ya kufikirika katika shairi. Wanapewa nafasi ya kuweza kuzoea moja kwa moja vitu vinavyonekana na vyenye tabia ya kugusika (concrete objects) kama mahindi yaliyo kaangwa (popcorn) kwa kunusa, kugusa, kuonja, sura au umbile, na kusikiliza sauti yake inapokuwa ikikaangwa.. Uzoefu k=huu humfanya mwanafunzi aweze kubuni na kuunda shairi kuhusu mahindi ya kukaanga (popcorn). Mara shariri litakapokuwa tayari, mwanafunzi atakuwa yupo tayari kuelezea ni kwa vipi kila sehemu zao za fahamu zilivyowezesha kutambua tabia ta mahindi ya kukaanga (popcorn). Wanafunzi pia watakuwa tayari kuelezea jinsi walivyo linganisha na kupata elimu na uzoefu wao katika kutengeneza mahindi hayo ya kugaanga, pia jinsi walivyoweza kupata misamiati ya kuelezea mahindi hayo na hatimaye kuwawezesha kuandika shairi zao.
Rejeo
Adapted
from:
-
Moran, A. Popcorn poetry lesson
[On-line].
Available: http://www.cgocable.net/~rayser/popcorn.txt
[2000, May 17].
|