|
|
 |
|
Tafsiri
-
Elimu mpya kuhusu njia za jamii za kiasili zinazotumiwa kufaidi na kupitisha ujuzi (kutoka elimu ya jamii na elimu ya watu wa asili) ina tukumbusha kuwa elimu ya hali ya juu ni zao la kijamii na mahusiano katika jamii hizo” (Ewell, 1997a, p. 5). Mazingira ya furaha ya kujifunza ni ya kijamii na mazingira yake ambayo huleta miingiliano na, hali ya juu ya kupeanan moyo, kuunda nafasi za kujifunza (Ewell, 1997b, p. 10). Majifunzo ya aina hii ni ya kimakundi nay a kunena (Ewell, 1997b, p. 10)
Orodha ya tabia zinazoweza kuonekana
-
___
1. Kushirikiana kati ya watu. (Ewell, 1997b, p. 10)
___ 2. Athari ya jamii katika kujifunza (Ewell, 1997b, p. 10):
kujifunza kunatokana na shughuli zinazohusisha
ushirikiano wa amani na kuaminiana, kama vile katika
michezo.
___ 3. Kushirikiana katika hali ya kujitolea muhanga katika
kupanga mipango (Athari ya (Ewell, 1997b, p. 10):
Kupeana moyo na kunakoonyeshwa na kushirikiana
katika mazingira ya kujifunza yenye furaha kama kishawishi
kwa wanafunzi, hasa kwa wale wanaojisikia
kuwiwa,
kujitoa muhanga na kupanga mambo hayo.
Marejeo
-
Ewell, P. T. (1997a, December). Organizing for learning: A new imperative. AAHE
Bulletin, 3-6 [On-line]. Available:
http://www.aahe.org/members_only/bul-dec1.htm [2000, May 17].
Ewell, P. T. (1997b).
Organizing for learning: A point of entry. Draft prepared for discussion at the 1997
AAHE Summer Academy at Snowbird. National Center for
Higher Education Management Systems (NCHEMS). Available: http://www.intime.uni.edu/model/learning/learn_summary.html
Mfano
-
MWanafunzi wa shule ya msingi amabeye anaona ugumu katika kujifunza lugha ya kuandika na mwalimu wake wakitaka kuunda kutabu, ambacho kina picha, sauti na maandishi. MWanafunzi anakuwa amezamishwa katika mambo mengi na hali ya kujitoa muhanga katika shughuli hizi, ambazo zinahitaji kuungwa mkono na mwalimu wa somo. Mwanafunzi anaunda na kutuma ujumbe kwa mtandao kwa mwandishi kumuuliza habari kuhusu maoni yake kuhusu kunda kitabu. Mwanafunzi pia hujitoa muhanga wakati kitabu chake kinaonyeshwa mbele ya wanafunzi wenzake. (Mwalimu anayewapa moyo wanfunzi huunda mazingira ya furaha ya
kujifunza).
Rejeo
-
Raub, M. (2000).
Imagination express: Rain forest [Video].
INTIME: Integrating New Technologies Into the Methods of
Education [On-line]. Available: http://www.intime.uni.edu
|