spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers
spacers home the model find a video Product spacer
spacer Help search Sitemap about
line

Mlishonyuma wa Mara kwa Mara

 

    

Tafsiri

Mlishonyuma wa mara kwa mara huwapatia wanafunzi kufanya mazoezi ya yale waliokwisha kujifunza mwanzo. Utafiti unatuambia kwa ulaini wa ubongo huruhusu fahamu kufanya kazi pamoja na ambazo ziundwa kwa ajili ya kufanya kazi ya kutatua tatizo hilo kufanywa kuwa na wepesi wa kushughulikia tatizo liloko mbele na hasa tatizo la muhimu. (Kotulak, as cited in Ewell, 1997, p. 9). Kwa sababu ubongo unahitaji kushughulikia tatizo la muhimu, ni muhimu kufanya mazoezi ya vitu vile ambavyo tulihitaji kukumbuka na kupokea mlishonyuma ambao una ishara wazi kuhusu ni kwa vipi tungefanya vizuri zaidi, kama yale mambo ambayo yametolewa kwa makusudi au kwa kuendelea) na mwalimu au mwanafunzi wa rika (Seery, Brown, & Duguid, as cited in Ewell, 1997, p. 9). Hii hushawishi hali ya kujifunza kutokana na umara kwa mara wa utendaji (kwa mfano, idadi ya kushirikiana katika mazingira fulani, k. v. na mtu au shughuli) na kwa uthamani wa mlishonyma inaweza ikaonyesha makosa yanayoweza kukosolewa, uthaifu au makosa katik autendaji wa sasa au katika modeli zilizoko kichwani na ambazo mwanafunzi wanazo (Ewell, 1997, p. 9). Bila mlisho nyuma wa mara kwa mara, na nafasi ya mazoezi, na hasa katik amahesabu na lugha za kigeni, “ hata katika akili za ajabu ( ingawa elimu ya ugunduzi sio ngumu zana uweza wa utambuzi wa kwanza)” (Ewell, 1997, 1997. 9).  

Kaguo la Orothat ya tabia zinazoonekana.

___ 1. Mazoezi (Ewel, 1997): Wanafunzi hufanya mazoezi kwa 
           ajili ya kuendeleza ujuzi wao na mbinu.

___ 2. Mlishonyuma wa waalimu (Ewell, 1997, p. 9): MWaalimu
           huwapa wanafunzi nyezo za kimaandishi na za kwa kunena.

___ 3. Mlishonyuma wa wanarika (Ewell, 1997, p. 9): Wana rika
           hutoa mbinu kwa maandishi na kwa kunena.

___ 4. Mbinu ni kwa vipi wanaweza wakaendeleza (Ewell, 1997, 
           p. 9): Wanafunzi hupata habari ambazo zinatoa ushauri 
           kuhusu jinsi ya kufanya vizuri zaidi

___ 5. Mlishonyuma wa kusahihisha (Ewell, 1997, p. 9): Mbinu 
           hizi ni za kusaidia kuendeleza utendaji darasani.

___ 6. Mlishonyuma wa kutoa msaada (Ewell, 1997, p. 9): Mshauri
           humpa moyo mwanafunzi.

Rejeo

           Ewell,  P.  T.  (1997).  Organizing for learning: A point of entry. Draft prepared for discussion at the 1997 AAHE Summer Academy at Snowbird.  National Center for Higher Education Management Systems (NCHEMS).  Available: http://www.intime.uni.edu/model/learning/learn_summary.html

Mfano

Mwalimu wa chekechea anamwambia kila mwanafunzi kuchora picha ya gari analolitaka. Michoro hii itawekwa katika slaidi za powerpoint amabazo zitakuwa na sauti ya wanafunzi ili kutengeneza kijitabu cha kompyuta. Kadri mwanafunzi atakapokuwa anafanya kazi, mwalimu atakuwa anatoa mlishonyuma mara kwa mara. Anazungukia darasani kuhakikisha kuwa kila mwanafunzi anaelewa anachokifanya. Mlishonyuma atakaokuwa anautoa utakuwa wa kipekee na utatofautiana kwa kila mwanafunzi. Mchango wa mwalimu utasaidia kazi ya mwanafunzi kueleweka vizuri zaidi mbele ya wasikilizaji na kuwapa moyo wanafunzi ili kuwaonyesha kuwa wanafanya kazi nzuri. Ni hakika kuwa mwalimu atakuwa anaongea na wanafunzi wote na anapenda kazi ya kuchora inayofanywa na wanafunzi.

Rejeo

                Robinson, J.  (2000). Brown bear, brown bear, what do you see? [Video].  INTIME: Integrating New Technology Into the Methods of Education  [On-line].  Available:  http://www.intime.uni.edu