spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers
spacers home the model find a video Product spacer
spacer Help search Sitemap about
line

Mafunzo yasio Rasmi

 

    

Maana

“Kila mwanafunzi hujifunza kila wakati, nasi na pasipo nasisi” (Ewll, 1997a, p. 4). Majifunzo yasio rasmi ni majifunzo yasioonekana, amabayo hutokana na kushanganyikana na kuwasiliana na watu wengine, na mbinu nyingi wanzozipata toka rika lao na [waalimu] ambayo huwa ni ziada ya yale “wanyofundishwa” [Ewel, 1997b, p. 7).

Kaguo la Orodha ya Tabia zinazoonekana

___ 1.  Kujifunza kusiko onekana (Ewell, 1997b, p. 7): Majifunzo
            yanaweza kuonekana katika mazingira yeyote katika maisha;
            nafasi ya kujifuza sio inayotokana na shule tu. Yanaweza kuwa
            ni nyongeza ya yale yaliyojifunzwa. Wanafunzi wanauwezo wa
            kutambua na kupata maana kutokana na mazingira amabayo sii
            lazima yawe ya darasani.

___ 2.  Safari za Mashambani (Bransford, Brown, & Cooking, 1999,
            pp. 19-21): Wanafunzi huingiliana na mazingira na sababu fulani
            hasa ya kufanya utafiti na kujifunza.

___ 3.  Vituo vya kujifunza (Brnsford, et. al., 1999, pp. 19-21): 
            Katika vituo vilivyoundwa katika jamii, wanafunzi wanaweza 
            kutumia elimu za nadharia.

___ 4.  Uanafunzi (Ewell,. 1999b, p.7): Wanafunzi hujifunza kutokana
            na kuona na kutokana na usimamizi wa washauri wao, kwa
            mfano, kutoka kazini na programu za mashuleni

Marejeo

           Bransford, J., Brown, A., & Cooking, R.(Eds.). (1999). How people learn: Brain, mind, experience, and school. National Academy of Sciences [On-line]. Available: http://bob.nap.edu/html/howpeople1/

            Ewell,  P.  T.  (1997a, December).  Organizing for learning: A new imperative.  AAHE Bulletin, 50(4), 3-6. [On-line].   Available:  http://www.aahe.org/members_only/bul-dec1.htm [2000, May 17].

 
            Ewell,  P.  T.  (1997b).  Organizing for learning: A point of entry. Draft prepared for discussion at the 1997 AAHE Summer Academy at Snowbird.  National Center for Higher Education Management Systems (NCHEMS). Available: http://www.intime.uni.edu/model/learning/learn_summary.html

Example

Kituo maarufu cha mafunzo kwa watoto wadogo ni sehemu ya nyumba ya kutunzia. Kuunda nyumba ya kutunzia, mwanafunzi huunda sehemu fulani darasani amabayo inafanana na mazingira ya nyumbani. Sehemu hiyo inakuwa uimejazwa fenicha, na vifaa. Vyombo ambavyo haviwezi kutambulika maramoja vinaweza kuwa ni vimojawapo. Wanafunzi wanapewa nafasi ya kufanya kazi katika makundi madogo madogo kujifunza jinsi ya kutumia vifaa hivyo. Mara nyingi watatumia mbinu ya kujaribu na kufanya makosa katika kutimiza kazi yao hadi wamefanikiwa kabisa. Katika mazingira haya, wanafunzi wanajifunza jinsi ya kujifunza kwa pamoja kijamii na kujifunza mifumo mbalimbali inayojitokeza katika mazingira ya ndani ya nyumba, hii ni pamoja na jinsi ya kutumia vifaa vya ndani.

Rejeo

            Martin, T. (2000). Informal learning example. INTIME Project: Preparing tomorrow's teachers to use technology. Cedar Falls, IA: University of Northern Iowa.