|
|
 |
|
Ufupisho
Ufupisho huu umetoka kwa P. T. Ewel's Organization for Learning: A point of Entry, a draft prepared for discussion at the 1997 AAHE Summer Academy at Snowbird National Center for Higher Education Management System (NCHEMS)
Utafiti wa karibuni katika uwanja wa ubongo unatoa mwanga mpya katika mfumo wa kujifunza, ambao unashawishi muundo wa taaluma, maandalizi ya waalimu, na mazoezi ya darasani (Brandsford, Brown, & Cocking, 1999). Modeli ya tulionayo imeundwa kuuonyesha kanuni za kujifunza, amabao tunafikiria kuwa in uwezo wa kushwishi kupata kwa elimu, kuendelea mbinu na kuendeleza ushindani kama ikitumiwa katika mazingira ya darasani na na katika mazingira ya jamii na haya yamebadilika katika kujifunza jinzi ya kujifunza. Kujua jinsi mwanadamu anavyojifunza imetusaidia kuunda model tuliyokusudia, ambao inaonyesha kufanya kwa utendaji wa utafiti katika mazingira ya elimu.
Nadharia mbalimbali za utafiti na mbinu zimeendelezwa kutafuta na kubadilisha mawazo ya zamani kuhusu kujifunza kwa kuelewa. Herbert Simons, Nobel Laureat, anasema kuwa maana ya kujifunza inatoka kuwa kuweza kulundika elimu na kurudia na kuwa na maana ya kufikiri kwa makini na kuweza kuitumia.
Makala ya Ewel "Mpangilio wa Elimu Hatua ya Kuingilia" inaendata na ndoto za Teknologia kama Nyenzo za Elimu Bora zinazoelezea uhodari katika kujifunza kwa sababu zifuatazo: a) inaleta mwanga jinsi ya kujua kwa njia gani elimu hutokea na kudumu.
b) inagawana na imani yetu kuhusu majifunzo ya tekinolojia, c) Inashauri njia za kubadilisha mifumo ya kufundisha kwa kuzingatia asili ya tafiti za sayansi ya kuelewa na kujifunza katika mfumo.
Dondoo zetu nane za kujifunza zimetokana na uelewa wa Ewelkatika utajiri na mchanganyiko kama ulivyo katika kujifunza na ushahidi ulioko katika mfumo wa sayansi , sikolojia ya ufahamu, na maendleo ya
tafiti.
- Awali ya yote, mwanafunzi anahusika kwa uchangamfu kushiriki katika kujifunza.
-
Habari haipelekwi kwake, lakini mwanafunzi anaiunda mwenyewe. Hivyo basi mwanafunzi ana nafasi ya kuanzisha, kujaribu, kufanya tena na kuunganisha kadri habari zinavyoleta maana kutokana na mazingira. Kujifunza hakutokei katika mazingira ya darasani tu, na sio wakati wa somo tu.
-
Elimu inaweza ikatokea katika mazingira yeyote yale, na wakati wowote. Kwakuwa wanafunzi huhusishwa katika kuunda mbinu za kujifunza na kuunganisha na kwa sababu kujifunza hutokea hata kwenye mazingira yasiyo ya darasani, haiwezekani kwetu sisi kuelewa vingine kinyume cha inavyopkusudiwa.
-
Uzoefu wa moja kwa moja katika mazingira thabiti inahitajika ili tuweze kubadilisha uelewa wetu wa awali.
-
Kama mazingira yetu ya kujifunza ni mazingira yanayo lazimisha, ambao unakidhiri uzoefu wetu wa moja kwa moja na kuwa uelewa huu unahusisha matokeo ya kweli, basi kujifunza kunaweza kuwa kabiliano na kupendwa na mwanafunzi.
-
Ewel anakazia kuwa umuhimu wa zawadi au ushawishi na usahihi wa mlisho nyuma wa mara kwa mara, amabao mwanafunzi anastahili kupata kutoka kwa mwalimu na wenzake katika mfumo mzima wa kujifunza; bila bahati ya mazoezi, hata mafunzo mahususi ya ujuzi yanaweza yakatoweka.
-
Kufuatilia maada kuhusu mlishonyuma wa mara kwa mara, Ewel anakazia kuwa mlishonyuma unaweza ukafanya kazi zaidi kama unatolewa katika mazingira ya kufurahia amayo yanahusisha miingiliano na hatua ya juu ya kuungwa mkono au kusaidia kipekee.
-
Ewel ana wasilisha kukumbukia, kwa kanuni za kujifunza, na pia vijipande vya mazingira ya kulazimisha, Kutafakari na kukumbukia ni muhimu kufikia hatua ya kujifunza kwa undani kunakohitajiwa na habari zinazotumiwa katika mazingira. Katka modeli yetu, kutafakari kunakuwa ni kipengele muhimu kwa sababu tunatambua kuwa kutokana na hilo wanafunzi wanaweza wakatawala mazingira yao ya kujifunza. Mazoezi ya ktafakari mbinu za kipekee za kutathmini ya kuendeleza yanapelekea kuelewa kile ambacho kimeshafanya kazi na kinachohitaji kuendelezwa. Haya yote yanapelekea kusafirisha majifunzo kwenye mazingira mapya na kuwa na adhari
za muda mrefu. (Bransford., 1999, ch. 3).
Ewel pia anahusisha utayari wa kujifunza vipengele Fulani vya kanuni za kujifunza, ambazo tunafikiri kuwa zinaendana na vipengele vinane katika kujifunza katika modeli yetu. Kwa hiyo, tuliunda kipengele tofauti katika kiini cha modeli, Wanafunzi katika kiini cha Kujifunza. Kwa utayari wa kujifunza una un adhari zisizo sa wazi katika vipengele vingine vyote vya kujifunza, inaendana katika kiini hiki, amabapo kanuni zote za kujifunza
zinategemea.
Rejea
- Bransford,
J., Brown, A., & Cocking, R. (1999). How people learn: Brain, mind, experience, and school
[On-line]. Available: http://stills.nap.edu/html/howpeople1/
[2000, October 4]
|