spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers spacers
spacers home the model find a video Product spacer
spacer Help search Sitemap about
line

 

Sampuli na Maunganisho

 

    

Tafsiri

Nijia hii ya ufahamu "inahusisha uundaji wa viunganishi kati ya wazo na wazo, vipengele vya ujuzi, watu na uzoefu"(Ewell, 1997b, p.7) kwa mtu binafsi anayejifunza, hii itahusu "kutengeneza maana, kwa kuunda mfumo na miundo inayofanya kazi, mahusiano, na mawasiliano". (Ewell, 1997b, p.6). , utafiti mpya wa kibayolojia unaonesha kuwa " kuunganisha mawazo" ni kiini cha shughuli za akili pamoja na kukua kwa ubongo. (Ewell, 1997b, p.7). 

 

Orodha ya tabia zinazoweza kuonekana

___1.  Fikara zinazonyambilika. (Ewell 1997b, p.6): mwanafunzi
           anaweza kuiga njia mpya ya kujifunza na kuwajibika kwa
           kuunganisha mawazo, kupanga na kutumia ujuzi na mbinu za
           awali na kuzitumia katika muundo mpya.

___ 2.  Fikara za kuhakiki (Ewell, 1997b p.7): mwanfunzi nauendea
            wajibu akilinganisha, akichuja mawazo na kuchagua kutoka
           katika vitu anavyovijua ili kupaza suluhisho bora kwa tatizo
           linalomkabili.

___ 3. 
Kuhamisha (Woolfolk, 1998, p.320): kwa kuhamisha mawazo
           nyuma mwanafunzi anaweza kukumbukia ujuzu wa awali, kwa
           kuhamishia mawazo mbele mwanafunzi anaunganisha kifikra na
           kuona ni namna gani taarifa zinaweza kutumika hapo mbeleni.
 ___ 4. Kufanya kitu kinachoeleweka (Ewell, 1997a, p.6): kwa 
            kuwepo muudo Fulani wa mafunzo, mwanfunzi anakuwa na 
            uwezo wa kutumia miundo inayoeleweka na ambayo 
            imepangwa na kutumika ili iweze kuleta maana katika hali 
            mpya.

Marejeo

            Ewell, P. T.  (1997a, December). Organizing for learning: A new imperative.  AAHE Bulletin, 3-6. [On-line].  Available:  http://www.aahe.org/members_only/bul-dec1.htm   [2000, May 17].

            Ewell,  P.  T.  (1997b).  Organizing for learning: A point of entry. Draft prepared for discussion at the 1997 AAHE Summer Academy at Snowbird.  National Center for Higher Education Management Systems (NCHEMS). Available: http://www.intime.uni.edu/model/learning/learn_summary.html

            Woolfolk, A. (1998).  Educational psychology (7th ed.). Boston: Allyn & Bacon.

Mfano

Katika madarasa ya fasihi ya kiingereza kwa madarsa ya vidato vya juu wanafunzi wanaunda kitu ambacho kinajumuisha maandishi ya kiasili ya Hamlet yenye asili, na maongezi ya kisasa ya mtu pekeyake. Kwa kufanya hivyo, wanakuwa wakitumia mawazo na maudhui ya mchezo katika matatizo ya leo. Kwa hiyo fikara zenye kuhakiki zinatumika katika kuunganisha masimulizi na mambo halisi ya dunia. 

Wakati wa shughuli hizi, nafasi nyingi hupatikana kwa wanafunzi kutumia ujuzi walioupata kutokana na tunzi maalum, ambayo ni kuanzia Shakespeare na kulinganisha na hali maisha ya kila siku. Mwalimu hulipanga darasa kufanya mazoezi kwenye vikundi na kuchagua sehemu za maigizo. Wanatafsiri hisi sehemu za mchezo katika kitabu, wanafunzi wanahitajiwa kufafanua na kulinganisha na mawazo ya kisasa. Mfano mmoja ni kuunganisha Hamlet, “kuwa au kutokuwa” mazungumzo yanayooongelea kiasi cha kujiua kwa vijana. Shughuli hii inawahitaji vijana kuona milingano ya matukio ili waweze kupata kulingalisha na yale yaliyotokea zamani na wakati wa sasa. Ujuzi huu utawawezesha kuelewa zaidi yaliyotokea sasa kupitia yale ya zamani.

Marejeo

Imechukuliwa toka:

            Saitz, R.   Hamlet dramatization [On-line].  Available: http://www.cgocable.net/~rayser/hamact2.txt [2000, May 17]