|
|
 |
|
Menejimenti ya yaliomo
Menejimenti ya uendeshaji
Menejimenti ya ahadi
Hitimisho
Note. The
Summary section below is adapted from Schoolwide and
Classroom Management: The Reflective
Educator-Leader, by L.A. Froyen and A.M. Iverson,
1999, Upper Saddle River, N.J.: Prentice-Hall, pp.
128-129, 193-209, 217, 221, 256-258.
Kutokana na wataalamu katika uwanja wa elimu, menejimenti ya shule na darasa inalenga kuwapa moyo wanafunzi na kuwapa uwezo mkubwa wa kujitawala kwa njia ya kuwezesha mabadiliko katika kufaulu na tabia. Hivyo ni kufaulu kielimu, kujitosheleza kwa walimu, na tabia za walimu na wanafunzi ni moja kwa moja zina ungana na mandhari ya shule na menejiment ya darasani.
Menejimenti ya darasani inalenga katika vipengele vitatu: Menejimenti ya yaliomo, menejiment ya maadili, na menejimenti ya kiapo. Kila wazo hapa limejadiliwa kwa undali katika orotha ya kaguo la tabia zinazoonekana katika ufundishaji maarufu kimatendo.
Utafiti unaonyesha kuwa matokeo makubwa ya matatizo ya kitabia ina madhara makubwa katika ufundishaji na kujifunza. Kwa muelekeo huo, Walimu wanaukumbwa na tatizo hilo wanashindwa kuandaa mbinu mahususi za kuandaa na kuunda mbinu nzuri za kufundisha. Wana elekea kudharau vitu mbalimbali katika maandalizi yao ya masomo, ambapo wanafunzi mara chache hushirikishwa katika kutathmini wanayoyafundishwa. Kwa kuongezea, uelewa wa wanafunzi na jinsi ya kukaa hauangaliwi kila mara.
Kinyume chake, menejimenti ya nguvu nay a mara kwa mara na uzoefu wa kuendesha shirika vimetambuliwa kuwa ni pelekea kupunguza utovu wa nidhamu wa darasani.
Kwa jinsi hii, menejimenti ya yaliomo “haimaanishi kuwa ni mbinu za kipekee za kufundisha somo Fulani bali ni kwa mbinu ambazo zinatumika kwa masomo yote na shughuli zote za kimasomo.” (Froyen & Iverson, 1999). Doyle alikazia kiini cha menejimenti za ufundishaji kuwa ni kufaidi na kutunda muungano wa wanafunzi katika kujifunza (in Froyen & Iverson, 1999). Kuhusiana na menejimenti ya maada, mkazo una wekwa katika mbinu za kufundishia (imetambuliwa na Kounin, 70), kuweka na kuunganisha mbinu za ufundishaji za nyongeza, na kushughulikia masomo yanayoendana na matatizo ya kinidhamu). Menejimenti ya kimaadali ina kuwa katika imani kuhusu asili ya watu. Kwa kuunisha elimu kuhusu tabaka tofauti (na ubinafsi, kwa muda huo huo) katika falsafa Fulani y akiufundishaji, mwalimu wanaweza kupanga madarasa yao katika hali nzuri zaidi, na kwa ufasaha zaidi.
Watafiti wameonyesha njinsi ya kuwasaidia wanafunzi kwa malengo mazuri ya kurekebesha tabia zao. Katika kupanga menejimenti ya darasani, walimu wanatakiwa kutumia mawasiliano ambayo sio kwa kuwadai wanafunzi kubadilisha tabia. Zaidi ya hayo, wantakiwa waelewe kuwa wanataka wanafunzi wao wafanye nini na kuwashirikisha katika shughuli za kujifunza, katika hali zote za wazi na zilizoelezwa kwa uwazi kuhusu darasa na sheria zake.
Kutokana na Iverson na Froyen (1999), menejimenti ya maadadili ni muhimu kwa kuunda msingi wa kuwawzesaha wanafunzi “kufuata modeli ya kujali shughuli wazifanyazo katika kufundisha na kujifunza,” Inapelekea kuwapatia wanafunzi kuwa na uhuru mkubwa na mamlaka makubwa wakati wakiwa wanashirikiana. Menejimenti ya mpango madili inatakiwa iwe na maana ya ya mwalimu kutawala na kuongoza matokeo. Vipengelel vifuatavyo vya matokeo yamelengwa katika muhtasari huu: Kutambua tabia wajibikaji, na kurekebesha tabia isiyo ya uwajibikaji, dharau, utawala wa mazingira, amri ya upole, kuchelewesha mapendeleo ya ukaaji, muda unaodaiwa, muda wa kukaa nje, kuwapasha habari wazazi na walezi, kuandika mikataba ya tabia, kuweka upeo wa kukaa inje ya darasa, na mfumo wa kulazimisha tabia. Vipengele vyote hivyo zimewasilishwa ili viweze kutambuliwa katika mifano ya matendo ya hali ya juu ya ufundishaji.
Menejimenti ya ahadi inakazia kuwa darasa ni mfumo wa kijamii. Waalimu na wanafunzi wana wajibu ya kuyafanya mazingira ya darasa kuwa ni yale yanayofaa katika kujifunza. Kwa maneno mengine, desturi ya darasa lolote lile ni la kipekee. Hata hivyo, inashaiwishia sana na mazingira ya jamii kubwa inayoizunguka na amabayo lengo la elimu itolewayo inatimizwa. Muungano mkubwa wa shule na jamii inatakiwa iwe inarudiwa na kurkebeshwa mara kwa mara kutokana na mabadiliko mabli mabli ya kijamii. Shule inapokuwa na tabaka nyingi, walimu na wanafunzi wanatakiwa kufahamu na kuwa na jinsi ya kuunganisha tabaka katika mambo yote ya shule na vikundi vya darasa kwa ujumla.
Shule zenye sifa ya hali ya juu kama inavyotafsiriwa na ustadi na umaarufu wa waalimu na kufaulu kwa wanafunzi ikiwa ina tabiria kujenga mahusiano kati ya wanaohusika. Kwa jinsi hii, mahusiano ya walimu na wanafunzi ni muhimu kuleta mazingira mazuri ya darasani na shule kwa ujumla. Hivyo basi menejimenti ya darasani ya kinidhamu inaweza ikashughulikiwa aidha katika kiwango cha mtu binafsi (kati ya mwalimu na mwanafunzi) au katika kikundi (darasa zima). Kama kuaminiana inajenga kati ya mwalimu na mwanafunzi, wanafunzi hawawi katika usimamizi wa mwalimu kwa kuwa wanakuwa ni watu wanaowajibika zaidi. Hivi ndivyo, “Wote waalimu na wanafunzi wanakuwa washiriki katika mfumo wa kufundisha na kufundishwa, wakijitahidi kupata chochote kutokana na wao wenyewe na kutokana na uzoefu wao” (Froyen & Iverson, 1999)
Marejeo
Bloom, B. S., Engelhart, M. D., Frost, E. J., Hill, W. H., & Krathwohl, D. R. (1956). Taxonomy of educational objectives. Handbook I: Cognitive domain. New York: McKay.
Canter, L. (1979, January). Competency-based approach to discipline – it’s assertive. Thrust for Educational Leadership, 8, 11-13.
Froyen, L. A., & Iverson, A. M. (1999). Schoolwide and classroom management. The reflective educator-leader. (3rd ed.). Upper Saddle River, NJ: Prentice-Hall.
Glasser, W. (1977). Ten steps to good discipline. Today’s Education, 66 (4), 61-63.
Kagan, D. M. (1992). Professional growth among preservice and beginning teachers. Review of Educational Research, 62, 129-169.
Kerman, S., & Martin, M. (1980). Teacher expectations and student achievement: Teacher handbook. Bloomington, IN: Phi Delta Kappa.
Redl, F., & Wattenberg, W. (1959). Mental hygiene in teaching. New York: Harcourt, Brace, & World.
Rich, J. M. (1988). Punishment and classroom control. The Clearing House, 61 (6), 261-264.
Sprick, R. S. (1985). Discipline in the secondary classroom: A problem-by-problem survival guide. West Nyack, NY: Center for Applied Research in Education.
Sprick, R., Sprick, M., & Garrison, M. (1993). Interventions: Collaborative planning for students at risk. Longmont, CO: Sopris West.
|