![]() |
|
|
|
|
|
|||||
|
|
|
|
|
|
||||||
|
|
||||||||||
|
Tekinolojia |
|||
Ufupisho
Technolojia sio vipuri tu. Ni chombo chenye nguvu ambacho wanaojifunza wanaweza kutumia katika kufanikisha utaratibu wao wa kujifunza. Waalimu wanaweza kutumia nyenzo za tekinolojia katika kutoa nafasi ya kujifunza na pia katika kuunda hali amboyo inaweza kukuza kiwango cha kujifunza (Switzer, Callahan, & Quinn, 1999). Tekinolojia inatoa njia kwa waalimu ya kulipima darasa pamoja na mazingira yake kwa upya. Mwalimu sio chemchem ya elimu maarifa yote tena. Tekinolojia inaweza kutoa chanzo cha elimu mbali na darasani au katika vitabu. Mwalimu anakuwa ni mfanikishaji tu katika kujifunza, akijumuisha na kuwezesha mbinu mbalimbali zinazoweza kuwaongoza wanaojifunza. Tekinolojia inafungua mlango kwa ulimwengu kwa kuruhusu wanojifunza kuzifikia maktaba mbalimbali, watu wengine wanojifunza, pamoja na wataalamu na vyango vingi vingine vya elimu wanyoitafuta. Kama ambavyo kitwa cha habari cha modeli ya
“tekinolojia kama mwezesha wa elimu yenye
kiwango cha juu” inavyomaaninsha, tekinolojia
inanafanya kazi muhimu katika kufanikisha utoaji
elimu ya kiwango cha juu. Ili kuhakikisha kuwa tekinolojia inatumika katika katika kufanisha elimu bora, ni muhimu kuandaa waalimu wa huduma ya awali, wenye mbinu za kutumia vyanzo vya tekinolojia katika utoaji nafasi za mafunzo. timu ya wakufunzi ya chuo kikuu cha Northern Iowa (UNI) imeunda utaratibu wa ushindani wa tekinolojia kwa waalimu awali, na utendaji kazi kwa kiwango stahili ndani ya nyaraka kadhaa za taifa. Katika Yaraka hizi zenye viwango stahili vya taifa zinajumuisha “international Society for Technology in Education” (ISTE), “Recommended Foundations in Technology for All Teachers” ambazo baadaye zilianza kutumiwa na baraza la “National Council fo Accreditation of Teacher Education (NCATE); ISTE’s, National Educational Technology Standards for Students”; na “ the American Association of School Librarians and Association for Educational Communications and Technology Information Literacy Standards for Student Learning”.
Ushindani huu una unasaidia malengo kadhaa:
UNI inaamini kuwa Ujuzi wa Tekinolojia kwa waalimu una vipengele vitatu:
Kipengele cha kwanza kimejumuishwa kwa kuwa pasipo ujuzi wa msingi wa kutendea kazi, tusingeweza kutumia tekinolojia katika kuandaa habari na katika kutatua matatizo. Kipengele cha pili kimejumuishwa kwa sababu vyombo vya tekinolojia ni muhimu katika kusaidia elimu ya habari ( uwezo wa kukusanya, kuchambua, na mawasiliano ya habari) kwa sababu binafsi na sababu za kitaalamu na vilevile kwa malengo ya kufundishia. Kipengele cha chini kimejumuishwa kwa sababu maeneo fasiri kadhaa yana chombo chenye tekinolojia ya eneo husika ambacho si muhimu kwa matumiza ya waalimu wote. Kwa mfano, ni muhimu kwamba waalimu wa Hisabati wajue namna ya kuingiza matumizi ya kalkuleta zenye kugrafu katika ufunddishaji. UNI inaamini ujuzi wa tekinolojia kwa waalimu utabainisha maeneo ushindani unaotakiwa na waalimu ili kufanikisha utumiaji wa vifaa vya tekinolojia katika kutoa nafasi za kujifunza na kuandaa mazingira yanayo boresha kujifunza. Kwa kutumia ngazi mbalimbali, waalimu wangundua nguvu pamoja na udhaifu wao uliko na kuweza kutatua maeneo yenye uzoefu kwa kuongeza ushindani. Marejeo American Association of School Librarians and Association for Educational Communications and Technology. (1998). Information power: Building partnerships for learning. Chicago: American Library Association. International Society for Technology in Education. (1998). National educational technology standards: Guiding the development of new learning environments for today's classrooms [On-line]. Available: http://cnets.iste.org/ [1999, May 25] International Society for Technology in Education. (1998). Recommended foundations in technology for all teachers [On-line]. Available: http://www.iste.org/standards/ncate/index.html [1999, September 21] Krueger, K., Hansen, L., Smaldino, S. (2000, April). Preservice teacher technology competencies. Tech Trends 44 (3) 47-50. Switzer, T. J., Callahan, W. P., & Quinn, L. (1999, March). Technology as facilitator of quality education: An unfinished model. Paper presented at Society for Information Technology and Teacher Education, San Antonio, TX. |
|||